• Kibu aliyejiunga na Simba msimu wa 2021/2023 akitokea Mbeya City anamaliza mkataba na Wekundu hao wa Msimbazi, lakini tayari timu hiyo imempa ofa ya kumuongezea mwingine mnono na muda huohuo ana ofa kubwa mezani kutoka kwa watani wao wa jadi, Yanga.

Comments

Popular posts from this blog

Young Africans Sports Club